Aina Saba za Dawa za Serikali zimekamatwa katika duka la dawa Wilayani Chemba.

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Kati imefanya ukaguzi katika maduka ya dawa na vifaa tiba katika kijiji cha Mpendoo kilichopo katika ya Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. Ukaguzi huo ulifanikisha kukamata dawa za Serikali aina saba (7) zenye thamani ya Tsh. 265,000/= katika duka la dawa muhimu liitwalo ROGECHU. Mtuhumiwa amekamatwa na